Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,624
Hellow
Kuna jambo linanitatiza. Nilisafiri October last year nilitoka Dar kwenda Moshi nilipofika asubuhi miguu ikawa imevimba (kwa chini si mguu wote) wakaniambia ni safari itakaa sawa ndio mara ya kwanza kuvimba mguu.
Juzi kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani ,asubuhi naona miguu imevimba tena na haina maumivu, jioni ya tarehe moja ikawa sawa.
Uzito: Nimepungua kutoka 95 - 75 kgs.
Wapendwa shida yaweza kuwa nini haswa?
Sent using Jamii Forums mobile app