Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 185
Pole isije ikawa nitatizo lakienyeji wewe unaenda hospital hayo magonjwa ya kichwa huwa yanamabo mengi embu ujaribu na watumishi wa Mungu wakuombee huwezi jua. Pressure umecheki?
Salam kwenu wana jf.
Jamani mimi nina tatizo la kuumwa kichwa sana nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lakini sina tatizo ila naumwa sana sana kichwa.
Kama kuna dawa naomba mnijulishe..
Ushauri tafadhali.