Tatizo la kuuma kwa tumbo

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
2,000
Kwa madaktari,kuumwa tumbo wakati wa ujauzito ni sign inaleta alert. Kwa maelezo uliyotoa mkuu,ni mafupi sana kuweza kusaidiwa.Pengine undeweza kusema:
1.Ujauzito wa miezi mingapi
2.Maumizu yameanza lini
3.Sehemu gani hasa,chini ya kitovu,juu ya kitovu(chembe ya moyo),tumbo zima nk.
4.Ikiwa kuna damu zinatoka chini(nadhani unaelewa!)
5.Vipi kuharisha,kutapika,hamu ya kula
6.Maumivu wa kati wa haja ndogo
..........
..........
Nk.....nk....nk

Lakini ushauri wa msingi ni kwamba mpeleke mgonjwa hospitali haraka iwezekanavyo,pale utafanyiwa vipimo kisha tatizo litafahamika na mgonjwa atapata tibo.Tahadhari;Maumivu ya tumbo wakati wa ujauzito sio ya kuchukulia kijuu juu!
 
shangwe shangwe

Senior Member
Oct 17, 2012
108
0

ujauzito huo niwa miezi 6. Tumbo huuma sana chini ya kitovu,damu hazitoki. Nimepewa dawa na Dr.lakin zinapoza tu na baada ya siku chache hurudia tena. Kutapika hutokea mara mojamoja hasa baada ya kula. Maumivu yameanza kama mwezi mmoja uliopita. Nisaidieni ndg zangu!
 
The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,150
2,000
ujauzito huo niwa miezi 6. Tumbo huuma sana chini ya kitovu,damu hazitoki. Nimepewa dawa na Dr.lakin zinapoza tu na baada ya siku chache hurudia tena. Kutapika hutokea mara mojamoja hasa baada ya kula. Maumivu yameanza kama mwezi mmoja uliopita. Nisaidieni ndg zangu!

kama umepimwa hamna kitu basi yatakuwa ni ya kawaida hata mie yalikuwa yananitokea hasa baada ya kula na baadaye yataisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom