Tatizo la kutopata mtoto

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Juzi nilienda hospitali kupima mbegu za kiume na uwezo wako cha ajabu ni kuwa nilikutwa na mbegu 18milion pia doctar akanimbia kuwa pia ni tatizo inabidi nipewe dawa kusudi niwe na uwezo wa kuzalisha.je tatizo linasabishwa na nini je tiba yake nini.
 
Kumbe kuna wengine huzaliwa na na tatizo hilo au wengine unakuta alishambuliwa sana na magonwa ya zinaa na akachelewa kupata tiba.Pili wengine unakuta alipata ajali na aliumia sana maeneo ya sehemu za kiume.
 
ordering ya semen analysis we inaangaliwa sperm count, motility, morphology,ph n fructose level. Normal sperm count kwa data za WHO 2010 ni 15 milion per ml. Na ww unasema zipo 18 Milion.alikuelezea kuhusu parameter zingine? Yawezekana sperm count ni normal ila kuna matatzo kwenye morphology,motility, or ph.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom