yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
Habar wakuu,
Nimekuwa na tatizo la kutopata choo. Nilikaa kama wiki sijapata choo nikaamua kutumia dawa za "Bisacodyl", zilisaidia nikaharisha sana. Lakini tangu hapo zimepita wiki mbili sijapata choo tena, ikitokea napata kidogo saana kama punje alaf kigumu sana japo nakula chakula kama kawaida na matunda kama parachichi, ndizi, nk.
Imefika hatua naanza kusikia chakula kinajazana karibia kifike kifuani.
Naomba msaada wa ushauri nini nifanye kutatua hili.