TATIZO LA KUTOKWA USAA KWENYE KITOBO JUU YA SIKIO

Remark

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
447
854
Natumai wote ni wazima
Nilizaliwa upande mmoja wa sikio kwa juu nje kuko na kitobo Kama mtu aliyetobolewa kwa ndani ivi natumai mlishakutana na aina ya watu Kama hao wengine wanakua ni pande zote mbili wanakua navyo hivyo vitobo juu nje ya sikio.
Sasa shida niko nayo ni kwamba toka niko mdogo mpk navoandika hapa iyo sehemu ya sikio imekua ikiwasha kwa ndani ya icho kitobo Tena mara kwa mara na huwa napafikicha na kutoa Kama usaa japo huwa kidogo na mara nyingi pamekua mpk panavimba kidogo kutokana na kupafikicha.
1. Sasa nilikua nataka kufahamu Kama Kuna watu waliozaliwa ivo na wamepata kutokewa na shida Kama iyo na je Kuna hatua yoyote walioichukua na iliyoweza kuwasaidia ilo tatizo la kuwashwa kwenye iyo sehemu kuweza kuisha
2. Kama Kuna mtu anafaham iyo sababu basi anieleweshe inatokana na Nini na jinsi ya kutibu ilo tatizo.
N.B: Kiukweli sijawai kwenda hospitali kufahamu zaidi kuhusu ili tatizo nililonalo
Natanguliza shukrani na kukaribisha michango yenu
 
jamani mwenye kujua tatizo ilo ajitokeze atueleweshe
 
Habari!

Hii inaitwa periauricular sinus. Ni njia ambayo kwa ndani haifunguki/ tokezei sehemu yoyote/blind end.

Ni tatizo linalojitokeza wakati wa kuumbwa kwa sikio. Hali hii huweza kuonekana wakati wa kuzaliwa au baadaye.

Haina madhara dhidi ya uwezo wa utendaji kazi wa sikio. Inaaminika pia huweza kurithiwa ndani ya jamii.

Tatizo kuu huwa ni eneo hili kupata maambukizi ya mara kwa mara ya bakteria. Unaweza kutumia dawa likaweza kupona na kurudia baada ya muda kupita.

Suluhisho la kudumu huwa ni kufanya upasuaji mdogo kufuata njia na kusafisha kisha kupafunga.
 
ilinitokea nikiwa na umri wa 10+ then nikawa nina pakamua nakupasafisha vizuri mara kwa mara mpaka kikaisha; baada ya muda kikakauka ila kishimo kidogo kikabaki kama kovu.
 
ulienda hospital ukaambiwa ivyo ama ni wewe tu uliamua,na je kwa mtoto aliyezaliwa nacho je naweza kufanya ivyo kama wewe ulivyofanya
 
Back
Top Bottom