Tatizo la kutokwa na majimaji ukeni ni ugonjwa gani?

Notmiz

Member
Dec 15, 2017
54
20
Doctors na wazoefu nisaidieni please.

Majuz kati hapo nlitoka kufanya ngono huko sasa ila tulitumia kinga, na noted cjawai kusex before kabisa ndiyo ilikua mara kwanza. Sasa ndugu cjaakaa siku mbili tatu fluids au majimaji yanatoka halafu yana unjano flank hivi. Siku ya tatu eo; hayawashi wala nini, tatzo ni nini? Nisaidien nashindwa kuwa comfortable😔😔
 
Notmiz,

Nenda kamuone Gyno! Tena usichelewe. Alafu, zinaa sio nzuri, mimi nakushauri uache kabisa zinaa. Tafuta mwenza wa maisha yako, Mungu ni mwema, utampata mwenza aliye bora kabisa kama ukimtegemea Mungu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Notmiz,

Hujaanza kuwashwa bado??
Usipowashwa inaweza kua hakuna tatizo lolote au inaweza ikawa chlamydia ambayo pia haina dalili zozote
Pia kuna ugonjwa unaitwa trichonomiasis ambao hata condom hazijapewa uhakika wa kuzuia ila unaambatana na muwasho mkali pia harufu mbaya.

Ushauri wangu nenda hospitali haraka ukapime na kutibiwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hujaanza kuwashwa bado?

Siwashwi wala nini ila now yameacha ...nmeambiwa n vaginosis n cz ya kustay virgin for a long time yaan n ya kawaida hayaniaffect kitu n fluids ...ila zmekauka now n uchaf wa kaeaida
 
Back
Top Bottom