Tatizo la kusoma na kusinzia

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Habari zenu wakuu.

Naomba kuwasilisha hili tatizo langu ambalo nakosa namna ya kulikabili. Tatizo lenyewe ni kwamba kila wakati nikianza kusoma. Sikai Muda mrefu naanza kuhisi usingizi wa hatari. nisipogundua najikuta nimeshalala.

Sasa sijajua tatizo limo wapi na nitalitatua vipi. maana ninashindwa kufanya mambo mengine.

Naombeni kuwasilisha hili tatizo.

Wasalaam.
 
Unasoma ukiwa umechoka pia jaribu kuweka ratiba yako vizuri maana inawezekana mchana una ka muda ukatumie tu.
Pia usikomae na usiku muda amabao huta gain chochote.
 
Habari zenu wakuu.

Naomba kuwasilisha hili tatizo langu ambalo nakosa namna ya kulikabili. Tatizo lenyewe ni kwamba kila wakati nikianza kusoma. Sikai Muda mrefu naanza kuhisi usingizi wa hatari. nisipogundua najikuta nimeshalala.

Sasa sijajua tatizo limo wapi na nitalitatua vipi. maana ninashindwa kufanya mambo mengine.

Naombeni kuwasilisha hili tatizo.

Wasalaam.
Na ukiwa fb au instagram inakuwaje?
 
Nataka nirejee kwenye mradi wangu wa kusoma vitabu angalau 50 kwa mwaka nashindwa nikianza kusoma tu naanza kusinzia sijui nimelogwaje
 
Back
Top Bottom