Hili tatizo lina mda gani toka likupate?
Jenga tabia ya kula ndizi mbivu mara kwa mara na kunywa maziwa hasa mtindi. baada ya siku nne utakuwa poa,
Bawasiri (hemorrhoids)
Lina wiki sasa
ok inaonekana kabla ya hapo kuna dawa ulitumia sasa hiyo imekuwa side effect kama ni kweli nenda famasi nunua dawa ya kupata choo laini, baada ya hapo nunua papai lililoiva sana kula na maji kwa wingi. Ilishawahi kunitokea mimi nilimeza flajili choo kikawa ili kuzua kuharisha matokea nikawa najisaidia tofali