Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo? Pia nina mazoea ya kunawa pale ninapomuanda mpenzi wangu kabla ya game, condom naitumia vizuri lakini je hivi vidole vyangu vinaweza kuwa ndio media ya kupitisha VVU? uwezekano huo uko kwa kiasi gani?
Unaweza sana kuacha.Ni kiasi cha kuamua tu.ukishazoea kutafuna kucha una-addict na unashindwa kuacha. na mtafunaji sana inafikia wakati unajing'ata. so, kumuandaa mpenzi wako inamaana unamchokonoa K?? angalia utamchana kitumbua na atakushitaki kwa jirani
yes si vema,Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.
Hey mtoa mada, jichunguze ujue hua ung'ata kucha wakati gani. Ukiwa nervous, ukiwa umeboreka, ukiwa umekasirika?Hizo ndio zilikua sababu zangu.
Nwy ukishajua ni wakati gani hua unazing'ata tafuta kitu ambacho utakua unafanya wakati huo instead. Ukifanikiwa kufanya hivyo kwa muda mwenyewe utazoea mpaka usihitaji tena hata hicho ulichokua unatumia kujizua kula kucha.
Pole aiseee, mi nilikua natafuna mpaka zinaisha na bado naendelea mpaka mtu ukitia mikono kwenye maji tu unaugulia maumivu.Maelezo mazuri, mimi pia nina tabia hii, mimi huwa ni kutokana na kufikiria, na kadri navyoumiza kichwa ndivyo speed ya kula kucha inavyozidi na nimegundua kuwa kipindi cha mitihani ndo huwa napata hadi vidonda vidoleni. Kwa case yangu nifanye gaje?
mimi nasubiri swali pili lijibiwe uhusiano wa kung'ata kucha na maambukizi ya ukimwi.
Hapo kwenye "Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano"pananitatiza. Hivi mie sasa niko kwenye 5 5 sasa hayo maji na glasi nayapata wapi?
Na nilisha ng'ata tayari kucha!
Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.
Jitahidi kuji-keep bize muda mwingi kwa mfano ukiamka asubuhi fanya mazoezi yoyote, kisha nenda kwenye kazi zako za kila siku, ukirud hom jion jipumzishe kidogo kisha nenda kashiriki michezo na watu wengine, ukirudi hom tena kula, jichanganye na majirani kwa stori then kalale. Fanya hivi mara kwa mara utaachana na tabia yoyote inayokukera. Haya ndo mawazo yangu, karibu tena.