Nani afanye huo upumbavu? Ndugai anachezea pesa za umma tena ndiyo mtunga sheria no 1, wabunge mishahara minono na posho juu, nani anataka watoto wake wasome hizi asante Makonda? Rais mshahara wake ni mkubwa hakatwi kodi na huku anahudumiwa kila kitu, uzalendo uanze na viongozi kwanza