Tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa

Feb 9, 2014
17
0
Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa kiwango stahiki,

Kwa nini nguvu za kiume zipungu;

Kuna mambo kadha wa kadhaa yanayoweze kusababisha upungufu wa nguvu za kiume ila mambo ya msingi ni haya yafatayo...

1. Vyakula na vinyaji (aina ya vyakula tunavyo kula}

2,Utunzaji wa mwili { ikiwa ni pamoja na mazoezi ya mwili}

3.Magonjwa

Kunasababu nyingine kama msongo wa mawazo {stress}, ugomvi wa mara kwa mara na kutokuelewana kwa wapenzi, kuangalia picha za ngono nk, ambazo wengi usema zinachangia kupunguza nguvu za kiume.

Lakini kiukweli hizi sababu azipunguzi nguvu za kiume ila zinaondoa hamu ya kufanya tendo la kujamiiana. Ikumbukwe kukosa nguvu na kutokua na hamu ni vitu viwili tofauti.

Sababu kukosa hamu ni tatizo la akili {psychology} na linaweza kutibiwa kwa ushauri { Counselling} lakini upungufu wa nguvu za kiume ni swala la madhara ndani ya mwili ambalo linatibiwa kwa tiba ya vyakula na dawa pamaja na mpangilio mzima wa maisha..

VYAKULA NA VINYAJI,

Vyakula na vinyaji hasa vya viwandani ambavyo vina kemikal nyingi na sukari za viwanda ni hatari sana kwa nguvu za kiume na afya kiujumla. vyakula vingine vinavyotiwa chumvi nyingi hasa chumvi mbichi, kuku wa kisasa, pamoja na mafuta yasio yeyuka mwilini kirahisi ni hatari sana kwa nguvu za kiume.

UTUNZAJI MWILI

Kuishi bila ya kufanya mazoezi, hata mazoezi mepes kama ya kutembea, pia matumizi ya vileo vikali na madawa ya kulevya nk.

MAGONJWA

Magonjwa kama ngiri, sukari ya kupanda na kushuka, vidonda vya tumbo, pamoja namagonjwa mengine yanayo mkabili mtu kwa muda mrefu hasa ya zinaa.

Watu wengi wanaogopa kujieleza ukweli wao, na hii ni kutokana na mambo mengi, wengine ni uoga na aibu, wengine ni sababu za kukatiswa tamaa na jamii ilio mzunguka kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kitapeli.

Tunapaswa tujue nini ni maisha bora, maisha bora ni pomoja na kua na mahusiano yenye afya bora, tunatoa ushauri na huduma ya wenye upumgufu wa nguvu za kiume.

Wasiliana nasi number 0717050484
 
Back
Top Bottom