Yani hizo 40kg zimeongezeka hivi karibuni baada ya kutumia uji wa lishe kwa bidii zote.Before nilikua na 39.
Kipindi nikiwa mjamzito clinic ya mwisho. kabla ya kujifungua nilikuwa na 54kg, baada tu ya kujifungua nikarudi kule kule😂
Daah pole sana asee...Nidanganye ili nipate nini mkuu.
Nilichoandika ndio uhalisia,mpaka nimeleta uzi jukwaani,mkuu nimedhamiria kushinda hii hali
Hahahaa hakuna mwanadamu mwenye urefu wa metre.😂😂 Huo ni umbali wa nguzo moja ya umeme na nyingine. Hizo ni cm.. ambazo unazigawa kwa 30. Urefu wa rula(30cm =1Foot)m or cm?
😅😅😅 Wewe ziko ngap??Yaan. Nina rafiki ni mwembamba sanaa na ana kg 44. Nimefikiria hizo 40Kg nakosa jibu.
Last month nilikuwa na 56😅😅😅 Wewe ziko ngap??
last year nilionana na mtaalamu wa lishe,yeye alinishauri vyakula tofauti tofauti ambavyo ninapaswa kula.Daah pole sana asee...
Kwakua shida ni kukosa appetite na sio kula chakula kidogo hata kama una hamu ya kula basi issue sio Volume ya mwili versus Food Quantity...
Usichuke kuwaona wataalam wa lishe lakini.last year nilionana na mtaalamu wa lishe,yeye alinishauri vyakula tofauti tofauti ambavyo ninapaswa kula.
Vitamin C nimetumia pia,nikitumia ninakula vizuri lakini baada ya kumaliza doze shida iko pale pale
Unajua kupiga bomba lakini maana nyie wa dar..Kuhusu dawa ya mitishamba,naomba kwa ridhaa yako nije Pm,kama hutojali unitumie hata kwenye basi.
Daah pole sana asee...
Kwakua shida ni kukosa appetite na sio kula chakula kidogo hata kama una hamu ya kula basi issue sio Volume ya mwili versus Food Quantity.
...Je ushafikiria kwenda kwa daktar kuangalia nini kinafanya huna hamu ya kula muda mrefu?? Kama jibu hapana basi jaribu kumuona.
..Ushawahi kutumia Vitamin C??? Kama ndio Je ilisaidia??
Ushauri kula chakula chenye kiwango kikubwa cha virutubisho si unajua hatuangalii Quantity of Food bali Quality yake ili kujenga mwili.
Laiti tungekua mkoa mmoja ningekutafutia dawa moja ya miti shamba upige bomba. Ingekukokoloa mafuta yote yaliyokugandamana mwilini mwako kuanzia kwenye Koo (Sehemu Lymph nodes zinapotengenezwa) hadi kwenye mishipa na utumbo.
Mwenyewe ungekula tu bila kupenda
Sawa mkuu sitachoka.Usichuke kuwaona wataalam wa lishe lakini.
Unajua kupiga bomba lakini maana nyie wa dar..
View attachment 1970558
Unaona sasa.😅😅Sawa mkuu sitachoka.
Kupiga bomba ndio nini mkuu?😊
hiyo dozi hapana boss,😂😂Unaona sasa.😅😅
Unachukua dawa kwa ajili ya tatizo lako unaichemsha kisha unasubiri ipoe kidogo kisha unachukua huo mpira alioshika huyo mama hapo unavuta dawa kisha uningiza bomba lake kwenye anal. Baada ya hapo utatoa kila uchafu ulio tumboni kwa kuharisha😅😅
Ningekua naweza ningewaletea hizi dawa wanaume wa dar.. matatizo yao yale ya nguvu fulani wangezisikia bombani
ikipatikana ya kunywa unijulisheUnaona sasa.😅😅
Unachukua dawa kwa ajili ya tatizo lako unaichemsha kisha unasubiri ipoe kidogo kisha unachukua huo mpira alioshika huyo mama hapo unavuta dawa kisha uningiza bomba lake kwenye anal. Baada ya hapo utatoa kila uchafu ulio tumboni kwa kuharisha😅😅
Ningekua naweza ningewaletea hizi dawa wanaume wa dar.. matatizo yao yale ya nguvu fulani wangezisikia bombani
ikipatikana ya kunywa unijulishe
Unaona sasa na ndio mfumo mzuri wa dawa kwa magonjwa mengi ya tumboni. Wachina na Wajapan wanatumia sana hii njia asikuambie mtu. Basi tu ubishoo wenu magonjwa yanabaki yanawasumbua.hiyo dozi hapana boss,😂😂
sina experience sanaaa na hiki kitu japo naweza kushauri ktk upande wa namna gan waweza kupata hamu ya kulaHabari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana,nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili niwe ninapata apetite ya chakula
NOTE:
Umri wangu ni 28,uzito 40 kg,urefu 151cm
Dawa ya minyoo nilitumia mwezi wa 7/2021
Chache Sana jitahidi ufikie 60!Last month nilikuwa na 56
Laleki nilivyoona picha tu nikaelewa why huyo dogo hatulii..🤣Usichuke kuwaona wataalam wa lishe lakini.
Unajua kupiga bomba lakini maana nyie wa dar..
View attachment 1970558
Mkuu ubarikiwe sana sana, tips ulizonipa zote ni njema na nimegundua ni wapi nilikua ninakosea , nimechagua tips 2.sina experience sanaaa na hiki kitu japo naweza kushauri ktk upande wa namna gan waweza kupata hamu ya kula
kwanza tenga ratiba maalumu ya kula yenye uwiano sawa wa muda ili uupe mwili muda wa kutosha ya kufanya mmeng'enyo wa ulivyokuwa
pili wanawake wengi mna tabia ya kula na kupumzika workout rate yenu iko chini sanaaa so chakula unachokula most of time kinaenda rundikana mwlini so jtaidi japo n ngumu kwa mwanamke ufanye vmazoezi kdgo walau hadi utoke jasho maana ufanyapo vile kula calories unaunguza mwlini zinaotokana na chakula ulichokula na hapo hapo mwli utakuwa hydrated na kupoteza nguvukani ya kutosha so lazma ifike hatua io nguvu iitajike tena uweze kurudi ktk hali yako ya kawaida na tunaipata vp io nguvu ilipotea n kupitia kula
Njia nyingne nnayoweza kushauri tafta kampani wakati wa kula usipende kula peke ako kula na mwenzio alie na appititte inakupa morali ya ww kula pia shida ya kula peke ako sometimes unaweza kuwa unakula una stress au msongo wa mawazo maana kulingana na maisha yetu ya kila siku tunakumbana na mengi so unapokuwa na mwenzio chakula huku story za hapa na pale inachange attitude ako
Na mwsho naweza kushauri jarbu kuwa wabadiri chakula usizoee kula chakula cha aina moja hii huleta saikolojia mbaya ktk appititte inafika hatua hujala wala kupika ukijua n chakula fulani waona ushamaliza kila kitu na sometimes jipe hata outing uende sehemu watu wanakula join nao piga misosi
Na cha kuongezea kdgo japo sio muhmu kivileee...waweza kwenda hospital mfumo wako wa chakula ka uko poa na mwili unatoa vichocheo kwa hali ya kawaida ktk umeng'enyaji wa chakula maana waweza kuwa una minor faults ktk mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula
ukiweza zingatia tips hata 2 ktk izo utaona mabadiriko
Yani siku ikatokea nimefikisha hata 45kg,uwii! nitaruka ruka kama ndama kwa furaha😂Tatizo langu mimi sio kukosa hamu ya kula ila ninahisi njaa ila ukila kidogo tu tumbo limejaa. Urefu wangu ni 180cm na kwa muda mrefu nimekua na weight ya 62 kg, this year at least zimefika 67kg ingawa haikua kazi nyepesi..
Ingawa sipo underweight ila kwa urefu wangu at least natakiwa niwe na 72 kg. Wasiwasi niliokua nao it is easy for me kurudi 62 kg kuliko kwenda 72 kg bila hata sababu ya msingi.
Lily pole mama.. fanya kufata mashauri ya wataalum kilo 44 kwa umri wako si nzuri kabisa!!Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana,nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili niwe ninapata apetite ya chakula
NOTE:
Umri wangu ni 28,uzito 40 kg,urefu 151cm
Dawa ya minyoo nilitumia mwezi wa 7/2021