Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,013
- 1,993
Punguza kuramba cone...Hahaa me mwanamke aisee
Punguza kuramba cone...Hahaa me mwanamke aisee
Ni dalili ya kisukari, wai hospitali ndugu.Habarini ndugu
Naomba kama mtu anafaham sababu ya kukaukiwa koo anisaidie. Koo linakuwa linakakuka hata nikinya maji haisaidii.
Mkuu, pole sana. Inawezekana una ugonjwa wa kisukari type 2. Yani una upungufu wa hormone inayoitwa ADH au antidiuretic hormone. Hii ni hormone inayohusika na water reabsoption kwenye figo... Sasa kunapokuwa na upungufu wa hii homoni, figo inapungua ufanisi katika kunyonya maji na kuyarudisha kwenye damu hivyo mwili unakuwa na upungufu wa maji na kukufanya kusikia kiu kali hadi kukaukiwa koo.Asante napenda kujua kama ni ugonjwa au dalili ya ugonjwa
DuuhMkuu, pole sana. Inawezekana una ugonjwa wa kisukari type 2. Yani una upungufu wa hormone inayoitwa ADH au antidiuretic hormone. Hii ni hormone inayohusika na water reabsoption kwenye figo... Sasa kunapokuwa na upungufu wa hii homoni, figo inapungua ufanisi katika kunyonya maji na kuyarudisha kwenye damu hivyo mwili unakuwa na upungufu wa maji na kukufanya kusikia kiu kali hadi kukaukiwa koo.
alternatively
Matumizi ya kupita kiasi ya vinywaji vya energy drink pia husababisha tatizo la kusikia kiu au kukaukiwa koo... So its any of the two...
Jaribu kupata sprite au Pepsi baridi.