Tatizo la Kukatiza Njia (root) wenye daladala hizo kumbe Police

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,770
7,122
Kuna tatizo kubwa la kiutendaji kuanzia posta ya zamani mpaka Bunju B, hili tatizo linaelekea kuwa sugu maana wanafikia kugeuza gari mbele ya Trafiki wao wakimpungia mkono tu. kama uhamini tuanzie mwenge , ikifika saa kumi na mbili magari yote ya njia ya Mwenge Bunju yanaishia Africana, kunayanayooanzia Africana kwenda Tegeta, hata kunduchi mtongani, mengine yanaanzia Mwenge mpaka Africana wakati njia yao ni ya Bunju kwa kisingizio cha kulaza gari, wakishashusha wanaita tena wa tegeta, Polisi walitoa namba 0783223013 ambazo zinapatikana lakini police hawa hawana ushirikiano kabisa, mpaka hapo nilishawapa namba za magari kama kumi na tano zinazokatisha root lakini hakuna sheria au hatua zozote zinazochukuliwa, Ina maana hakuna serikali au serikali mwisho saa 10, kuna haja ya kufunga baa zote za kambini maana wengi wanasahau kazi zao wanakimbilia kilevi, hii naisema kwa kuwa huwa nakunywa nao nawafahamu sana jinsi wanavyoacha majukumu na kukimbilia bia za BUKU.
Kwa sasa Mwenge Tegeta ni kilio Mpaka upande mara tatu, naomba kama kuna uwezekano rooti zote za Africana zisitishwe alafu wananchi watupe meno kuwa mkiona gari linageuzia Africana tuwashughulikie, wataona kiama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom