Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

Mie nishakuwa sugu

Ila nina experience na hiyo shida…

Sahivi nikisafiri sikosi kinywaji chochote chenye sukari Karibu na mimi maana uwa sili njiani
Pole sana cha utundu, mimi sinaga hizo shida iwe kwenye usafiri wa aina yoyote nipo sawa...
 
Na soln uwa ni fresh air, maji na ukae kitako utulie kidogo..

Ulifeel kiu?
Kichwa kama ina run?
Joto linazidi mpk unapata wenge
Sikuwa na kiu lakini baada ya hali kuwa tete nilianguka maana nilikuwa nimesimama sikupata siti ya kukaa. Hivyo kuna mama mmoja Alikuwa amenunua Azam embe ile nzito yenye sukari akanipa ninywe,halafu akanipisha kwenye siti ili nipate upepo.
 
Chupa haipozi, na hotpot ndogo haipozi...

Ila unaona bora ubebe chaji ya simu na kusumbua watu kwenye siti, ati kuna port ya kuchajia simu hapo kwako, with ana empty stomach...
Smart jamani🤣🤣🤣🤣

Unabebaje lkn thermos? Kwani nina mtoto mdogo?
Nabebaga ile chupa ya coffee, sema haitunzagi joto zaidi ya masaa ma5 ..

Ila suala la kuulizia port muhimu sana.. na siku hizi njia ya Kaskazini ina mabasi yenye free WiFi 😂🤸‍♂️
 
Mimi napandanga gari na tangawizi na maji ila havisaiidii. Kutoka shekilango hadi kufika magu stand tayari nilikua nishatapika. Mimi kijachonitapikisha ni ile harufu ya gari na kiyoyozi, Azam Marine za zenji nishatapika sana yaani nikiona mawimbi naule myumbo wa boti
Nilishagundua mimi nina Phobia ya vyombo vya moto ndio maana yote haya hunipata. Sijawahi kuinjoi nikiwa safari, haua nawashangaa watu wanakula na kucheki muvi kabisa wakicheka ndani ya gari😂😂
Wewe una motion sickness, cha msingi kabla ya safari njoo hospital tukuchome sindano ya metroclopamide pia tukupe vidonge vya kutumia kama safari yako ni zaidi ya masaa nane. Motion sickness ni vile reaction ya matumbo baada ya mtikisiko wengine huharisha pia
 
Smart jamani🤣🤣🤣🤣

Unabebaje lkn thermos? Kwani nina mtoto mdogo?
Nabebaga ile chupa ya coffee, sema haitunzagi joto zaidi ya masaa ma5 ..

Ila suala la kuulizia port muhimu sana.. na siku hizi njia ya Kaskazini ina mabasi yenye free WiFi 😂🤸‍♂️
Beba chochote cha kula cha utundu...

Kuliko kugombania siti ya dirishani, ilihali unajua kabis hujala upepo ukikupiga muda mrefu unajisikia kufa sababu ya njaa...

Ndiyo maana usafiri wa ndege mnapewa misosi, baada ya kula with your neck pillow una relax :D:D
 
Umeona ee

Tunakuwaga na njaa 🤣
Mtu umetoka nyumbani asubuhi
Umeenda umepiga misele weee
Hujala chakula cha kutosha na maji ukute hukunywa kabisa..
Lazima upate wenge
Ukiwa kwenye hali hiyo unakua na roho mbaya na chuki...
 
Me nahisi uwa ni mwili unapungukiwa maji + njaa

Lily Tony
+/- ila ukiwa na njaa hali inaweza kuwa mbaya zaidi mtu unakuwa na dalili ya hypoglycemia na hypotension yaan sukari na presha chini, wengi husweti sana, kupata uoni hafifu (bluired vision), kulegea nk, solution kubwa nunua baby walker yako iwe na a/c na wewe ndio uwe dereva, ukiwa una drive daily huwezi sikia hizo tabu hasa wale wanaopata tabu kwenye daladala hasa kutokana na msongamano, mnaugua magonjwa ya KIMASKINI sana 😄😄😄😄😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom