Habari zenu wakuu,
Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa.
Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua najisikia vibaya, kama ubongo unaelea hivi na mapigo ya moyo. Natamani tu gari lisimame.
Kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi, maana hata safari ya km 10 tu najisikia vibaya.
Naomba Naombeni msaada wakuu nahitaji hii hali inipoteee kabisa