Tatizo la Kuizoea K ya wife na Suluhisho lake

mnara kushuka mpaka kusoma 0 sio kwamba umeizoea k...kuna wakati k ni mpya kwako (used kwingine) ila ngoma inalalila humo humo.

haya mambo yanaongozwa na mawazo hasa
 
Mimi sipo ndani ya ndoa Lakin naiman kuwa ndoa nikitu cha thamani sana ndoa sio all about sex ndoa ni Zaid ya icho kitu na Kwa baat nzuri unapo mzoea mtu ndio vizur Zaid Kwan unakuwa unajua namna gani a nafurah na yeye pia hujua namna gani wew utafurah ukiona unamchoka bas waz humpend mtu huyo umefoc tuu kuwa nae huna nae isia za kwel
 
Vijana bwana! Ndoa sio k tu. K ni sehemu tu mambo yanayojumuishwa katika ndoa. Ukioa ndio utajua kuwa kuna vipindi maisha mambo yanapandiana mpaka hata hiyo k hukumbuki kuwa iko pembeni yako!
 
Mzee baba.....
Kula papuchi ukichoka tafuta mwingine usipende kuumiza kichwa kwa vitu vidogo kama hivyo..... !!
 
Halafu Mzee baba nakushauri usioe we endelea kula papuchi utakavyo ukichoka tafuta mwingine..... Life is easy.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Mwingine anaweza owa sababu mke ni msimamizi mzuri wa biashara, weee anagali hayo tuu ndoa ngumu.
 
Tatizo vijana ambao hamjaoa na ambao hawajaolewa huwa mnadanganyana sana kwenye story zenu. Narudia tena acheni uoga ndoa ni zaidi ya sex. Kama unataka sex unaweza kuipata sehem yoyote wakati wowote lakini ndoa ni kitu chenye thamani sana mbinguni na ardhini. Mi nilidhani utasema baada ya kuwa na mahusiano mengi umeona hamna tofauti bora kuoa. Kuhusu kuizoea K inategemea na wewe mwenyewe na focus yako na saikolojia yako. Mapenzi ya mke huwa ni matam wakati wote na huwa mwili na roho vinarelax sana kwakua huna hofu yoyote kuhusu mahusiano. Kikubwa ni kwamba mapenzi yanatengenezewa mazingira mazuri ya kuelewana kupendana kuoneana Huruma na mengine mengi. Kukiwa kuna karaha ya aina yoyote kati ya wapenzi hicho ni chanzo kikubwa cha kufa kwa mapenzi. Msigombane kwa vitu vidogo vidogo wala msinuniane. Yawekee mapenzi mazingira mazuri ili yadumu na kuwa mapya. Mimi humuona mke ni mpya kila siku. Kama tumeoana Jana. Tunacheza tunataniana wawili au tukiwa na watoto nk. Inatakiwa uishi na mke hadi majirani wasema du hawa nao hawagombani hata siku moja! Ndoa ni tam sana kama wote mnapendana na mnaelewana. Utajuaje kama unayetaka kumuoa anakupenda? .......


Umeongea vzr sana
Tendo linahitaji mazingira
 
Ukiwa na tatizo la mazoea ya k, inakukata stimulation. Huwa tuna piga mechi moja kwa wiki na bao 1 dakika 45. Bao la pili adi Christmas.
 
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo!!

Kuna tatizo ambalo mara nyingi sana tumekuwa tukidiscuss sisi mabachelor bila kupata majibu yanayoakisi uhalisia wa tatizo. Labda tuanzie hapa, binafsi sijabahatika kuoa lakini nikiri kuwa nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano kwenye vipindi tofauti hapo nyuma.

Labda pia niongezee bila kificho kuwa, binafsi napendelea sana ule mchezo wa kwichi kwichi na mpenzi wangu mpaka wakati mwingine najishtukia kuwa maybe this is too much kwangu na i have to control myself.

Sasa napata uwoga sana linapokuja swala la kuizoea K ya atakayekuwa mke wangu. Swala la kuizoea K ilishawahi nitokea mara moja kwa mdada mmoja huko nyuma, i was dating her but haikuwa kihivyo sana maana wote its like tulishajuana kuwa tunapeana kampani tu. Sasa ilifika kipindi, sipaform kama ilivyokawaida yangu. Hapa naomba nieleweke vzuri. Tunauwezo tofauti linapokuja swala la game, pia tunatofautiana kimaumbile. Nina fahamu hili ni jukwaa la wazi na sio dhumuni langu kufanya matangazo hapa. Ningeweza kutumia maneno marefu kuremba uanaume wangu (hata kama ikiwa ni uongo) lakini sina haja ya kusema yote hayo maana sio dhumuni la uzi huu. Sasa, niseme tu sina ulemavu wa kitendea kazi wala si lelemama linapokuja suala la sita kwa sita. I'm perfectly good na nashkuru kwa hilo.

Sasa, hii hali ya kuizoea K fulani tunaisikia sana kwa watu walio kwenye ndoa. na kama nilivyoeleza hapo juu kuwa ni kweli ilishawahi kunitokea mara moja kwenye maisha yangu nashkuru ilinitokea baada ya mwenzangu kufika mshindo. Binafsi huwa siruhusu kufika mshindo kabla mwenzangu kufika, falsafa hii ndio iliyoniokoa. Tatizo ama changamoto hii ipo kwa kiasi kikubwa na wengine ndio imekuwa chanzo cha kuchepuka kwenye ndoa zao. Nakumbuka rafiki yangu mmoja siku aliweza kuongelea ukubwa wa tatizo hili kwa upande wake na kusema imefika wakati mpaka katikati ya kunako sita kwa sita jogoo anatetema, yaani mkongojo unanywea kabsa na anashindwa kuperform lakini akienda kula vipusa vyake nje huko, kitu mnara 12 o'clock muda wote.

Nikiri kuwa hili ni tatizo kubwa katika maisha yetu ya siku hizi kulingana na desturi na namna tunavyoendesha maisha yetu. Na wengi hasa wanaume tumeshindwa ama tunaogopa kuliweka hili hadharani kupata msaada ama kupata tu mawazo ambayo yatasaidia kukupa uelewa juu ya utatuzi wa changamoto kama hizi. Wale ambao, wanakumbwa na tatizo kama hili na kudhani kuchepuka ndio suluhisho unakaa ndani na mke wako mwezi mzima eti huna hamu ya kumgonga unategemea yeye atabaki hivyo mpaka lini? Is she a robot? Lazima atafute sehemu naye atatuliwe haja zake.

Naamini humu ndani ya jukwaa, kuna wajuzi na makungwi wa mambo ya mahusiano ambao watatusaidia kufahamu chanzo na suluhisho ya matatizo kama haya na ikawa faida kwa sisi tulio nje ya ndoa kuweza kujiandaa vema na hata wale walio ndani ya ndoa waweze kutatua matatizo kama haya. Pia natambua kuwa Ngono si kitu pekee chenye kujenga misingi ya ndoa kufanya vyema lakini ni suala ambalo lazima tuliangalie kwa macho mawili. Nadhani kwa ndoa changa tatizo kama hili ni wachache litakuwa limewakumba ama hakuna kabisa lakini kwa wale walio kwenye ndoa kwa muda mrefu nadhani they have a thing or two to share with us.
Naomba niwakilishe

Ahsanteni
Matusi wala maneno yasiyofaa hayapendezi wala sifagilii
Karibuni kwa mchango
Jack HD
Sex performance it is all about kuwa na hisia na heshima na uwelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom