Tatizo la kuishiwa nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kuishiwa nguvu

Discussion in 'JF Doctor' started by mperwa, Oct 20, 2009.

 1. m

  mperwa Member

  #1
  Oct 20, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naomba msaada wa mawazo mimi nina tatizo la kuishiwa nguvu na kizunguzungu, sometime nahisi kupoteza network kabisa na huwa naweza poteza fahamu, nilienda hospital wakanipima kila kitu wakasema hamna shida, but mimi naona siko sawa, baadae wakaja kunipima tena wakasema sukari yangu iko chini na nilitumia dawa ikawa sawa kabisa. Baadae hiyo hali ikarudi tena but nikienda hospital wanasema sina tatizo, sasa nashindwa elewa nini inasababisha hali hii? Na pia nikikichelewa kupata kifungua kinywa asubuhi inakuwa balaa, maana ndio huwa napoteza network kabisa kwa kifupi siwezi vumilia njaa maana ndio huwa nahisi kuzimika kabisa(siwezi kaa zaidi ya saa moja bila kula chochote).
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  mi nilifikiri nguvu za kiume!!!!!!!!!!!!!!!1kama ndio hivo endelea kuwaona various physicians
   
 3. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #3
  Oct 20, 2009
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pOLE SANA KAMA WEWE UNATIBIWA KWA BIMA YA AFYA PLEASE CONTACT ME TEL 0756188490
   
 4. M

  Mtu Kwao JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 258
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole kwa tatizo.mi nina tatizo kama lako ila limenianza muda mfupi,na nilipomuona dr niliambiwa HB imepungua iko chini ya 10.jaribu kufanya vipimo vyote unaweza kupata msaada kwa wataalum wa afya.
   
 5. m

  mperwa Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante ndugu zangu, situmii Bima ya afya na pia nilifanya fool Blood picture ndio wakaniambia hiyo sukari ipo chini but hiyo niliitibu japo shida imeanza tena!
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Tunapenda watu kama wewe hapa JF,msaada wenu ni muhimu sana Mungu akujaalie.
   
 7. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Bima ya afya; deal?
  Maneno ya Nyerere, "Afya hiuzwi".
  Nina mashaka iwapo hii itakuwa deal salama kwa mgonjwa na medical professional ethics!
   
Loading...