chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,150
- 2,354
Ukiwa unafanya Faragha unapenda kuhama pia!?salute wakuu
nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then makongo. Hata shule ilikuwa lazima nihame shule moja niende nyingine. Hata masomo nilihama toka sayansi nikaenda arts then nikarudi sayansi. nimetafakari nikaona ni tatizo naombeni msaada.
imeshafika Tanzania?Hata corona ilihama toka China sasa ipo Tanzania... Kwahiyo s tatizo
huko pia nahama mnoUkiwa unafanya Faragha unapenda kuhama pia!?
Basi huna dawa tena. Umeshindikana.huko pia nahama mno
duhWewe ni mkorofi hivyo mwenye nyumba hapendi watu wnaoringa,wanaokula nyama wakati mwenye nyumba anakula kirumbu,au mke wako ni mbea sana
Hata corona ilihama toka China sasa ipo Tanzania... Kwahiyo s tatizo
utakuwa unabreed wewe sio bureHata hapo ulipo akili yako imehama. Ubongo uko puani makamasi ndio yako kichwani.