Tatizo la kubadili fonts Android 6.0 marshmallow

Tatizo la kubadili fonts Android 6.0 marshmallow

numis

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
176
Reaction score
188
Habari zenu wana jamvi natumia samsung grand prime plus iko vizuri na perfomance yake inaridhisha ila kuna kitu nashangaa mbona hii android 6 ukikatak kuongeza fonts nyingin tofaut na zile za kwenye simu inagoma kabisaa yani haitaki kabisa mwenye uelewa aje anieleweshe maana nakosa uhuru kabisa nawasilisha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom