Hata huu msimamo wa kutaka kushinda mwenyewe utauhairisha tu, kwakua ndio tabia yakoAsante kwa ushauri, ila nilitaka kuishinda mimi mwenyewe kutegemea mtu mwingine sitaki.
naona unabishana na washauri wakoNi mtazamo wako tu mkuu, ila natafta njia ya kushinda tatizo ndo maana nikaleta uzi.
Iyo tabia ndio wewe, ukitaka kuishinda nilazima ujishinde mwenyewe,,,Ni mtazamo wako tu mkuu, ila natafta njia ya kushinda tatizo ndo maana nikaleta uzi.
Tupo pamoja mkuu, ngoj tupate maarifaView attachment 2976694
Mm pia Nina hili tatizo Yani Kuna muda najichukuq. 😓
Thanks for your advice mkuu, ntaufanyia kazi.Kuwa na malengo ambayo hayana deadline , unachofanya hapa haufatishi deadline Ila unafatisha RATIBA.
Mfano ulipanga kufungua duka usiweke deadline ya kufikia hiyo hatua Ila kuwa na ratiba schedule.
Then kuwa na mfumo Wa kudaiwa
Hata Kama hauna familia mke au mtoto jifanye Una majukumu na unategewa hivyo assume kuna watu wanakusubiri utoe matokeo. Ili Ada zilipwe na chakula kipatikane hii itakuweka on truck.
Apply hizo mbibu mbili kwanza.
Goals without deadline but schedule
Assume that there's someone who need something great from you like wife ,kids ,parents ,boss and etc
Train ur mind procrastination is dream killer
I'll take this 🙏Kuwa na malengo ambayo hayana deadline , unachofanya hapa haufatishi deadline Ila unafatisha RATIBA.
Mfano ulipanga kufungua duka usiweke deadline ya kufikia hiyo hatua Ila kuwa na ratiba schedule.
Then kuwa na mfumo Wa kudaiwa
Hata Kama hauna familia mke au mtoto jifanye Una majukumu na unategewa hivyo assume kuna watu wanakusubiri utoe matokeo. Ili Ada zilipwe na chakula kipatikane hii itakuweka on truck.
Apply hizo mbibu mbili kwanza.
Goals without deadline but schedule
Assume that there's someone who need something great from you like wife ,kids ,parents ,boss and etc
Train ur mind procrastination is dream killer
Weka nia na juhudi, kila kitu kinawezekana.Sio uvivu nahisi ni tabia,
Napambana nayo mkuu
Stop telling peole abt what u want to do.Habari wana jf
Niende kwenye point nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo... sio kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilicho fanya leo. Hili ni tatizo toka utotoni na huenda ningekua nimefanya makubwa mengi nisingekua na hii tabia...
Nimejaribu sana kuishinda ila utakuta nafanikisha kwa miezi kadhaa tu baada ya hapo narudi kwenye cycle hii hii. Nimeangalia videos mbalimbali YouTube kushinda procrastination ila nitazitumia kwa muda tu alafu hali inarudi kama mwanzo. Kwa mwenye tatizo kama langu jua haupo peke yako.
Mwenye uzoefu na njia thabiti ya kushinda hii kitu naomba msaada.