Tatizo la ku reboot PC

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
Wadau compyuter ina reboot niki shutdown, tatizo linakua ni nini????????
kwenye tuta nimekwama please..
 
fafanua zaidi

sawa, yani wakati nazima pc, nikibofya pale kwenye ku shut down, ina zima alafu inawaka tena, yani ina restart wakati mimi nimebonyeza shut down nataka izime kabisa sio ku restart, nadhani nimefunguka zaidi
 
sawa, yani wakati nazima pc, nikibofya pale kwenye ku shut down, ina zima alafu inawaka tena, yani ina restart wakati mimi nimebonyeza shut down nataka izime kabisa sio ku restart, nadhani nimefunguka zaidi[/QUO

jaribu ku scan virus ili kujua haina malware mana aina hii ya virus inapenda sana kusababisha hilo tatizo sijui unatumia antvirus gani na ipo strong kama eset smart security 5 ni nzuri kwa ku scan

njia nyengine right click my computer nenda proparties divice manager nenda ktk universal serial bus controller click kale ka mshale cha ku extend ingia ktk usb root hube right click nenda power management utaona mahali pameandikwa allow the computer to turn off weka tick jaribu
 
njia nyengine fuata maelekezo haya. Start the Registry Editor (regedit)nenda state ktk seach andika run ikitoke click run itatokea kibox kingine andika regedit click ok itakupa worning ya Registry Editor sema okfuata mlolongo huu nenda kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows NT\CurrentVersion\Winlogon Double Click on "PowerdownAfterShutdown" badilisha weka "0" kama ipo "1" au weka "1" kama ipo "0". Restart the computer and after it has restarted, shut it down again.
 
sawa, yani wakati nazima pc, nikibofya pale kwenye ku shut down, ina zima alafu inawaka tena, yani ina restart wakati mimi nimebonyeza shut down nataka izime kabisa sio ku restart, nadhani nimefunguka zaidi[/QUO

jaribu ku scan virus ili kujua haina malware mana aina hii ya virus inapenda sana kusababisha hilo tatizo sijui unatumia antvirus gani na ipo strong kama eset smart security 5 ni nzuri kwa ku scan

njia nyengine right click my computer nenda proparties divice manager nenda ktk universal serial bus controller click kale ka mshale cha ku extend ingia ktk usb root hube right click nenda power management utaona mahali pameandikwa allow the computer to turn off weka tick jaribu

tunaenda sawa hapo, natumia microsoft security essential, naona iko mwake, thanks in advance
 
Back
Top Bottom