Simu yangu imestak katika sehemu Ya message na kupiga simu ila sehemu nyingine zinafanya kazi vizuri hii ilitokea baada Ya kuapdet version mpya ya iOS msaada jamani niganye nini simu inanikosesha deals
Sasa aje na elfu 30 ya nini? Acha tamaa. Ku-reset to factory settings ndio unakuwa umetengeneza? Na kufanya hivyo unataka 30??? Hatuishi hivyo ndugu. Kama umeamua kumsaidia msaidie, haigharimu kitu kufanya hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.