Digitali hii kaaazi kweli kweli. Cheza na setting ndugu. Ila hapo kwenye 3G. Guys tuwe makini HUAWEI nyingi sasa hivi zinakuja hazina 3G ni 2G tu.
Kama hizi nina prove ukikutana nayo tupa kule Huawei G610-T11 na G606 hazina 3G.
Siamini kuwa hizo huawei g 610 na g606 hazisupport 3G. Specifications zinaonyesha simu zote 2 zinasupport 3G. Tatizo ni kwamba 3G haiconnect automatically kwa baadhi ya simu unachopaswa kufanya ni kwenda kwenye mobile network settings na kufanya registration kwa 3G network. Yaani ukichagua 3G simu itasearch ikimaliza utaambiwa 'registered to network' kisha utaona 3G sign inatokea juu.

si kweli.
lengo si ubishani mkuu, mimi ni prove mfano hzo g610 zipo aina nne tofauti g610-u20,g610-u00,g610-T11,G610-t00. Sasa wewe unazungumzia specification za kwenye net. Mimi nimekutana nazo live nilipo fuatilia kwenye net wame recomand 3G ni kwa china tu kwa hizo zenye T..
Mkuu hizi simu kweli ni kimeo co upande wa internet tuu hata yenyewe aisee. Huwa natamani niitupe. Nkajua ni peke yangu ina shida, nkaenda tigo shop pale mlimani city nkapate ufumbuzi looh nkakuta na wengine wamekuja kwa tatizo la hizo simu.
Nimeongelea kwa mujibu wa maelezo ya mtandao kuhusu hizo simu si kwa experience. Nilikuwa natoa tu angalizo kuwa kabla ya kuconclude jamaa afanye registration kwanza. Kwa maelezo yake ni kuwa hizo simu zimeshindikana na mimi sipingani na hilo mkuu.
toka jana saa 6 mchana sipati mtandao wa internet, ukija unakaa dakika 30 unapotea yani ni tabu. Nilinunua tigo shop. Msaada wa kuirekebisha pls