Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Habari,
Tangu jana computer yangu imepata tatizo la internet connection ambalo halikuwepo kabla.
Ninapoconnect moderm(ya Airtel)ambayo ndi huwa naitumia kila siku inagoma na inaandika
"A connection to the remote computer could not be established, so the port used for this connection was closed".
Natumia Sony laptop, window 7.
NB:Nimejaribu kubadili moderms za mitandao mengine lakini pia zinagoma. Msaada tafadhali mana hii ndio ofisi na ndio kila kitu
NATANGULIZA SHUKURANI!
Fanya hivi jaribu kuitroubleshoot itafute shida iko wapi itakwambia na what to do! Nenda kweny control panel chagu network alafu wireless the what kuletea options chagua iliyopo kwanza yaan namanisha nenda next moja kwa moja.
Hapo chini kuna icon inayoonyesha mfano wa screen monitor, kisha click, utakuta "Veiw your basic network information and set up connections." Hapo ndipo kwenye tatizo you have to setup again na tatizo litaisha.
Asante mkuu, ngoja nicheck
Nadhani kwakuwa unatumia modem kwenye orodha ya wireless connectio chagua broadband.Asante mkuu, ngoja nicheck
Fanya hivi jaribu kuitroubleshoot itafute shida iko wapi itakwambia na what to do! Nenda kweny control panel chagu network alafu wireless the what kuletea options chagua iliyopo kwanza yaan namanisha nenda next moja kwa moja.
Asante mkuu. nimejaribu mkuu lakini hakuna matokeo chanya mpaka sasa.
xiexie jaribu kugoogle haya maandishi kama ulivyoandika, utapata solution.
"A connection to the remote computer could not be established, so the port used for this connection was closed".
Kuna steps za kufuata na mwisho wa siku utagundua shida na kutatua.