Tatizo la incoming emails kuingia kwenye trash naomba msaada

Tatizo la incoming emails kuingia kwenye trash naomba msaada

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,632
Wadau ninatatizo na gmail account yangu ninapotumia sms zinaingia kwenye trash tatizo ni nini?

Naombeni msaada wenu.
 
Angalia kwenye settings za filter labda uligusa kimakosa ukaweka rule ya ku forward kwenye trash
 
Back
Top Bottom