Ni mkaka, kijana, mtanashati, kajaliwa sana kiuchumi.
Marafiki zake wa karibu kila mmoja ana girl friend/mke wake.
Ila Mdau huyu hana girlfriend/mke.
Kwa nyakati fulani fulani (sio kila siku) gari yake huwa inapita mitaa fulani mashuhuri kwa biashara za 6 x 6 na kuondoka na "mzigo".
Wala haionekani kama ana desturi ya kurudia "abiria". Jamani, hii ni kawaida?