Kwamba Katiba is nothing, bora vitabu vya dini? Dini ipi sasa? Maana dini zipo nyingi? Pia kuna dini zisizo na vitabu na kuna wasio na dini?
Inawezekana kweli rais asiwe na uelewa na umuhimu wa Katiba k8asi hiki?
Inawezekana kweli rais hatambui kuwa dini zenyeqe hazikai chungu k8moja hadi afikie kusema watu waheshibu vitabu vya dini? Inawezekana kweli rais hajui kwamba kuna watu dini zao hazina vitabu? Inawezekana kweli hawaamini rais hajui kwamba ku a watu wasio amin8 katika dini na Tanzania watu hao kama hawajafika basi wanakaribia 20%?
Hajui hata bila hiyo katiba anayoidharau leo hii asingekuwa Rais, Aliapa kuilinda katiba lakini sasahivi anaona haina maana. Huyu anapaswa arudishwe kizimkazi. Na iwe marufuku mtu mmoja kutoka kwa watu milion 1 kuja kuongoza watu milioni 60.