Tatizo la huawei ku-restart, naomba msaada

Tatizo la huawei ku-restart, naomba msaada

Kujua kama emmc ni nzima ama tayari ishakufa bonyeza bottons za pembeni yaani volume up na volume down kwa pamoja kisha bonyeza power usiachie hadi kwenye kioo paje rangi ya pink!

Hiyo rangi ya pink kama haitoki hiyo cm inapona ila kama inakuja na kutoka hapo tena cm ndo hamna.

True dat
 
hujaweka vizuri file la dload kwenye memory card ukiweka vizuri haitakuja hiyo screen ya pink

Cjakuelewa mkuu,kwani simu yenyewe hata km haina memory kadi inafanya hivohvo!!,na hio file la dload ndo nn'?
 
Huawei sasa nazo zimeanza kuzingua,hasa Y-300.Yangu tatizo ni hilohilo,ikiflashiwa inaandika EMMC is Read only"Wanadai Inyrtnak

Daaa cjui hio lnyrtnak ndio lugha ya kitaaam,ambayo kimsing hata sjaelewa,vip wew umeamua kufanya nin nayo mkuu?!
 
Yap hiyo inapona ngoja niganye mpango ntakutumia file kisha utadownload send me your email!
 
Back
Top Bottom