Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Waungwana samanini sana, kama kuna mtu alishawahi kukumbana na hali hii,au anakua nna ya kulotatua anishauri yeye alifanya nini au nifanyaje?
Nina simu tajwa hapo juu,(Huawei y 300,) ilianza yenyewe kuwaka na kisha kujizima na kila fundi ninaempelekea anadai hawezi kuitengeneza je ni kweli hizi simu hazitengenezeki?
Inakuwa kama inataka kuwaka then inajizima!, lakini nikichomeka kwenye chaji nikabonyeza kitufe cha kuwasha kwa mda mrefu inawaka na unaweza kuitumia kama kawaida, lakini ukithubutu kuitoa tu inaanza kamchezo kama kawaida.