Tatizo la Huawei 300

Tatizo la Huawei 300

yantuzu

Senior Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
115
Reaction score
16
Naomba msaada kuhusu tatizo la huawei 300, kwa muda sasa simu hii nimeshindwa kuitumia maana ina-pop up notifications za "unfortunately, the process com.google.process.gapps has stopped", niki-press okey zinakuja notications kibao. ......googleplay store has stopped.., ...twitter has stopped.... n.k. haziishi, kiasi kwamba siwezi hata kuingia kwenye application yeyote maana kila sekunde nikubonyeza tu "ok".
Sasa wadau naomba mnisaidie nisolve hili tatizo maana haka ka simu kana vitu vyangu mhimu.
 
Attachments

  • 1450499033090.jpg
    1450499033090.jpg
    46.9 KB · Views: 318
Nishajaribu kurestore lakini ikarudi vilevile na hakuna kitu kilichokuwa restored
 
Mkuu ningekuwa nakufahamu nisingekushauri usinunue hiyo simu hayo masimu hivyo kabisa na hilo tatizo mpaka urudishe ofisini kwao huawei kama ni la promo peleka duka LA mtandao Wa cm ulilonunulia MF.tigo na iwe ndani ya warrant ukibeba na risiti uliyonunulia wao ndo watampelekea huawei osifi no dar,kama IPO nje ya warrant utalipia ni kero haifai jitafutie tecno mkuu hawana hizi tabu maana hapo jamaa hela yako mwenyewe inakutesa.
 
Powa@relis, nililinua zamani sana kipindi kile tigo wameyatoa kwa promo, nishaachana na huawei sasa
 
Ina nafasi ya kutosha Andrew Mathias mjinga ww
 
uko mkoa gani ilo sio tatizo kuna software zime corrupt nenda kaiflash kwa fund sm yeyote sio ku restore
 
Powa@relis, nililinua zamani sana kipindi kile tigo wameyatoa kwa promo, nishaachana na huawei sasa
Mi nimetupa kwenye dust bin kwa kwenye kutaka spea.
 
Attachments

  • 1450502621667.jpg
    1450502621667.jpg
    25 KB · Views: 209
tafuta fundi yeyote akuflashie zina tengenezeka na si Y300 pekeyake smatphone zote ziki corupt software znaandika hivyo ungekua tanga ningeli kusaidia
 
tafuta fundi yeyote akuflashie zina tengenezeka na si Y300 pekeyake smatphone zote ziki corupt software znaandika hivyo ungekua tanga ningeli kusaidia

Ngoja niende pale mcity nikiona gharama kubwa natemana nayo
 
Kwa Huawei haipon hata ukirudisha China ila kwa simu nyingine zinapona0715378899,dar city
 
ita kughalimu kama elf kumi na tano au pungufu ya hapo alafu usisumbuke sana ukajua labda tatizo kubwa ni tatizo la kawaida tu nenda kwa fundi simu yeyote anaye flash sim atakuflasia na itapona hyo ni kazi yang thats y nakushauli
 
Nishapeleka kwa fundi siku za nyuma akaflash lakini ilirudi hivyo hivyo
 
Usihangaike,mm kwa uzoefu wangu sijawah kufanikiwa hata moja tumetafuta kila aina ya soln lakin ngumu
 
Back
Top Bottom