Elekeza hapa hapa kwa faida ya wengiMkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...
Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)
Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...
Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)
Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Daktari amembadilishia dawa lakini ni sioni maendeleo ya kuridhisha. Bochi hospital, nazingatiaWrite your reply...Pole sana ndugu. Daktari wake anasemaje? Upo mkoa gani? Kama upo Dar kuna Daktari yupo Bochi hospital Mbezi alimsaidia sana ndugu yangu naye dawa zililkuwa zinakataa lkn kwa sasa anaendelea vzr sana.
ThanksMpeleke kwa Dr.Abaas pale fire mtaa wa Faru. Mimi wiki yatatu sasa napata huduma pale na tatizo langu lipo upande wa kidonda nashkuru naendelea vizuri sanaaaaa. Jama ni Dr. Bingwa wa kisukari.
Mkuu tushirikishe sote, mimi pia nina sister nahitaji msaidia. Tafadhali nielekeze mkuuMkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...
Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)
Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Sukari ni kukosekana kwa Insulin ya kui regulate. Na hii husababishwa na Kongosho kushindwa kuzalisha hiyo insulin ambayo ndiyo sugar blood regulator. Sasa tuanzie hapa, je Kongosho linawezekana kutibiwa likapona?Hivi jamani tuwe wakweli, Luna dawa/Tiba zinaponya kisukari kabisa kabisa na kukimaliza ????
Ameshaacha vyakula vyote vya wanga na sukari?Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.
Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.
Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.
Mwenye namna yeyote anisaidie
Acha kuzunguka zunguka, wee sema kuna tiba ya kuponya hilo tatizo completely au laaSukari ni kukosekana kwa Insulin ya kui regulate. Na hii husababishwa na Kongosho kushindwa kuzalisha hiyo insulin ambayo ndiyo sugar blood regulator. Sasa tuanzie hapa, je Kongosho linawezekana kutibiwa likapona?