Mungoni Mshamba
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 154
- 63
Kitambulisho kinachotambulika na serikali (Mpiga kura, National ID, leseni) Una scan photocopy yenye pande zote mbili ambayo imesainiwa na kugongwa muhuri mahakaniWanataka aina gani ya kitambulisho ? Ni upload cha NIDA ? na je ni scan photo copy au ?
heti chako ila kiwe cha NIDA, MPIGA KURA, LESENI, PASSPORT unatoa copy unapelema mahakamani wanagonga muhuri alafu unascan.. ukiingia kweny acc yako utaonaWanataka aina gani ya kitambulisho ? Ni upload cha NIDA ? na je ni scan photo copy au ?
Yeah yametokaKuna majina yametoka ya waliokosea kuomba mkopo??
PamojaNimekuelewa mkuu ! Ahsante
ni APPLICANT IDENTITY DOCUMENY ujue ni chako wewe SIYO MDHAMINI. alafu wakati wa kuapply haikua lazima ukiweke ila ndo ivyo inabid ukifanyie kaziMkuu hii hapa View attachment 876133
Ukiingia katika account yako katika tovuti , kisha ukilogin watakuambia pia vitu ulivokosea na kuweka nafas ya wewe kurekebisha !Hayo majina inabid uyapitie yote au wametuma na ujumbe kwenye Acc uloitumia kuapply?
kama utaweza kuscreen shot ujumbe wako kweny Acc yako ukiweka hapa itakuw poa sanaUkiingia katika account yako katika tovuti , kisha ukilogin watakuambia pia vitu ulivokosea na kuweka nafas ya wewe kurekebisha !
https://olas.heslb.go.tz
Sio lazima sana.Birth certificate si inapitia Rita tu au kuna haja na chenyewe kupitia mahakamani
Ni lazima bossSio lazima sana.
Poa afanye hivyo lkn mm sikufanya hivyo na sijaambiwa kuna mapungufuNi lazima boss
Ukiingia kwenye akaunti utakuta hiviHayo majina inabid uyapitie yote au wametuma na ujumbe kwenye Acc uloitumia kuapply?
ingia kwenye application yako https://olas.heslb.go.tz/index.php?r=application/default/home-page then view form yako yote na uihakiki. Applicant ni wewe mwenyewe, identification document za applicant sana sana ilikuwa ni birth certificate, Angalia majina yako kwenye birth certificate kama yanafanana na yale yaliyo NectaMkuu hii hapa View attachment 876133
OK nimekusoma mkuu. basi kam ni hivo hamna tatizo hapa kwa hii Acc.Ukiingia kwenye akaunti utakuta hivi
1. Preview
2. Download application
3. Missing Attachment
Hivyo ukiingia ukakuta 3 imeongeza inatakiwa uclick hapo ili ujue ni kipi umekosea. Ukiona hakuna 3 ujue hauna tatizo
ingia kwenye application yako https://olas.heslb.go.tz/index.php?r=application/default/home-page then view form yako yote na uihakiki. Applicant ni wewe mwenyewe, identification document za applicant sana sana ilikuwa ni birth certificate, Angalia majina yako kwenye birth certificate kama yanafanana na yale yaliyo Necta
Huyu ndugu yangu yeye kaandikiwa hiviSio lazima sana.
Kipi bado huelewi?Birth cerfitificate au kitambulisho cha NIDA ?