mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Yes haya hapa View attachment HESLB WANAFUNZI WALIOOMBA MIKOPO WENYE MATATIZO.pdfKuna majina yametoka ya waliokosea kuomba mkopo??
Document gani ni invalid? Tuanzie hapa ili tuweze kukusaidiaHabarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko invalid. Nlikuwa naomba kujua shida ni nini ? Na wanahitaji nini heslb as an identification document ?
Ahsanteni sana !
Atuambie ni documents gani ni invalid tuweze kumsaidiaMbona kama hamjamjibu kijana, kuhusu tatizo lake maana ameuliza afanyeje baada ya kuandikiwa hivyo au kuna tatizo gani 3
0625664424 nipigie nikueleweshe vizuriMimi nimeambiwa guarantor identification documents invalid
Kwenye list ya majina wamespecify kila kituNa hawajaspecify ni document ipi
Ungeelezea hapa mkuu tupate kuelewa wengi0625664424 nipigie nikueleweshe vizuri
unauliza au unasema?kwani ukiingia katika account yako ya mkopo si wanakwambia incomplete au complete maana majina n mengi alafu yapo random
Atuambie ni documents gani ni invalid tuweze kumsaidia
tatizo liko kwenye kitambulisho chako ulichokiweka, "IDENTITY CARD YAKO " ifanye uhakiki mahakamani, siyo ya mdhamini.Habarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko invalid. Nlikuwa naomba kujua shida ni nini ? Na wanahitaji nini heslb as an identification document ?
Ahsanteni sana !
Hapo inahitajika nakala ya kitambulisho cha mdhamini wako uliemjaza kwenye fomu, hivyo chukua kitambulisho cha mdhamini wako (kitambulisho cha utaifa, mpiga kura, leseni na vingine vilivyoorodhesha kwenye fomu) kisha nenda katoe kopi pande zote mbili halafu peleka mahakamani hiyo nakala ya kitambulisho, itasainiwa kisha utarudi kuscan hivyo nakala kisha utaiaplodi sehemu husika.Ungeelezea hapa mkuu tupate kuelewa wengi
Wanataka aina gani ya kitambulisho ? Ni upload cha NIDA ? na je ni scan photo copy au ?tatizo liko kwenye kitambulisho chako ulichokiweka, "IDENTITY CARD YAKO " ifanye uhakiki mahakamani, siyo ya mdhamini.
Nimekuelewa mkuu ! AhsanteHapo inahitajika nakala ya kitambulisho cha mdhamini wako uliemjaza kwenye fomu, hivyo chukua kitambulisho cha mdhamini wako (kitambulisho cha utaifa, mpiga kura, leseni na vingine vilivyoorodhesha kwenye fomu) kisha nenda katoe kopi pande zote mbili halafu peleka mahakamani hiyo nakala ya kitambulisho, itasainiwa kisha utarudi kuscan hivyo nakala kisha utaiaplodi sehemu husika.
Hapo inahitajika nakala ya kitambulisho cha mdhamini wako uliemjaza kwenye fomu, hivyo chukua kitambulisho cha mdhamini wako (kitambulisho cha utaifa, mpiga kura, leseni na vingine vilivyoorodhesha kwenye fomu) kisha nenda katoe kopi pande zote mbili halafu peleka mahakamani hiyo nakala ya kitambulisho, itasainiwa kisha utarudi kuscan hivyo nakala kisha utaiaplodi sehemu husika.Mimi nimeambiwa guarantor identification documents invalid