Wakuu habari?
Nina shida moja simu yangu nikijaribu kusign in kwenye fb inagoma kabisa, ila niki konect simu yangu na Wifi yaani network ya nje inakubali kusign in. Ila nikitumia MB za simu ndo inagoma kabisa na hili tatizo ni kwa fb pekee.
Website zingine inafungua bila shida ikiwemo JF ila kwenye fb ndo shida, na ina karibia wiki sasa tangu ianze hizi shida.
Msaada pls