Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Mkuu nadhani si vyema kuiita ya kifala bali tuseme tu ni huduma nzuri lakini itumie tu pale ambapo huna suruhisho lingine,mfano binafsi huwa inanisaidia sana nikiwa vijiji vya mbali kusiko na ATMs bali kuna MPESA na TigoPesa.
Kila kizuri hakikosi kasoro.
Sio kweli unachosema! Sehemu nyingine hata kama kuna issue huwa wanaweka solution mbadala.Kitu chochote duniani kinachotumia computer system kweny emergency ujue umeliwa ...... DUNIANI............. Shateseka Las Vegas balaa na CC then wakati narudi LA - LAX ikakubali....
Sio kweli unachosema! Sehemu nyingine hata kama kuna issue huwa wanaweka solution mbadala.
Safari ya kuwasha Gari kutafuta ATM naunguza mafuta ya shilingi ngapi? What about time etc?Sikilizeni mazee...
Simbanking ni Huduma expensive sana, inakutia umasikini kama hujui...
Mfano :
Kuhamisha tuu 10,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa /Tigopesa unakatwa 2130.
Wakat kama unngeenda ATM makato ni 944.
Twende :
Kuhamisha 500,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa unakatwa 6000.
Wakati kama ungeenda ATM makato ni 1888.
Conclusion:
Tuache tabia za Uvivu, kupenda shortcut.
Kama unaweza kwenda ATM ni bora mara 100% kuliko kutumia Simbanking.
Simbanking ni gharama sana, unganisha na changamoto kama hizo juu za Wadau wanatoa hela, hawazioni mpaka wasubiri masaa 24.
Kama hiyo haitoshi:
Kumbuka kuna gharama za kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa, jumlisha na gharama za kutoa hela Mpesa/Tigopesa kwenda mkononi.
Simbanking ni Huduma ya kifala, japo inaokoa safari za kwenda ATM.
24 hours not 25 sorry
Safari ya kuwasha Gari kutafuta ATM naunguza mafuta ya shilingi ngapi? What about time etc?
Ok, Hongera kama una ATM nyumbani kwako!Kuwasha Gari kutafuta ATM???
Ndio nasikia kwako....
Kwa jinsi atm zilivotapakaa hapa Dar...
Bila shaka wewe utakua upo mikoani
Bila shaka kama uliwahi kukumbwa kadhia ya VISA card kutofanya kazi kwa muda (kitu ambacho hakitokei sana) basi kulikuwa na ATM karibu.... ndio mbadala huyo! Ama!Kila kitu kina emergency, mimi nimetumia VISA yangu USA na hapakuwa na mbadala zaidi ya cash niliyokuwa nayo mkoloni. Mbadala ni wako sio wa Bank!
M'bongo kwa ubishi htamweza mkuu. Hii simcard banking ni zaidi ya kero. Naona pengine unajaribu kuelewesha watu waliozea shida na tabu (ambazo nyingi husababishwa uzembe kama part and parcel of life! Hawatakuelewa kamwe!Kuwasha Gari kutafuta ATM???
Ndio nasikia kwako....
Kwa jinsi atm zilivotapakaa hapa Dar...
Bila shaka wewe utakua upo mikoani
mwenzagu, nilitaka kununua hisa za voda kupitia *150*36# basi tukaanza bonyeza bonyeza bonyeza mwishowe nikaambulia sms disconnected! kutizama salio kweupe.Yaani, huduma kama ya wacheza kamari. Unapewa maagizo bonyeza 1, bonyeza... mwisho, hakuna pesa wala habari hadi uwapigie. Mara waseme baada ya masaa 4 mara, baada ya masaa 24.
Sasa hii kweli si usumbufu mkubwa?.
Ni tahadhari kwa wote, msiamini sana huduma hii. Imenikasirisha sana.