Na mimi lilinikuta elf kumi yangu moyo unauma benk ten imetoka mpesa hakuna kituLimenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa ku transfer kwa m-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye m-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye immegency umeliwa.
Labda hii bank haina pesa?.
Sasa kama ndiyo umefabya manunuzi,unaaibika..
Yaan unaweza kudhalilika hadi aibu, hii huduma msitumie mkiwa na dharura, halafu vidada vina nyodo vile, "....nimekwambia after 24 hrs!..."Sasa kama ndiyo umefabya manunuzi,unaaibika..
Pole mkuu, ila Mara nyingi simbanking na M pesa ni kama havipatani, mi huwa nafanya muamala kupitia Tigo pesa, yaani haijawahi kuchelewa ndani ya dk tano, nahisi voda hawako vizuri kwenye hii mambo, hata issue ya Luku wanazingua sana.Labda hii bank haina pesa?.
Simbanking inaonekana sio automated. Masaa 24 ndio unapata huduma?. Afu wanakata pesa kubwa. Hawa hawako serious.Nimeka tamaa kabisa na huduma hii. Nafuu ukatoe benk kuliko huu mfumo unao kuambia eti masaa 24 ndio unarudishiwa pesa zako.
Sikilizeni mazee...
Simbanking ni Huduma expensive sana, inakutia umasikini kama hujui...
Mfano :
Kuhamisha tuu 10,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa /Tigopesa unakatwa 2130.
Wakat kama unngeenda ATM makato ni 944.
Twende :
Kuhamisha 500,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa unakatwa 6000.
Wakati kama ungeenda ATM makato ni 1888.
Conclusion:
Tuache tabia za Uvivu, kupenda shortcut.
Kama unaweza kwenda ATM ni bora mara 100% kuliko kutumia Simbanking.
Simbanking ni gharama sana, unganisha na changamoto kama hizo juu za Wadau wanatoa hela, hawazioni mpaka wasubiri masaa 24.
Kama hiyo haitoshi:
Kumbuka kuna gharama za kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa, jumlisha na gharama za kutoa hela Mpesa/Tigopesa kwenda mkononi.
Simbanking ni Huduma ya kifala, japo inaokoa safari za kwenda ATM.