Tatizo la crack kwenye flat screen

Tatizo la crack kwenye flat screen

kalooo 25594

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
303
Reaction score
195
Ndg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo la kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyi
IMG_20200207_141907.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katupe jalalani haraka,
nenda kanunue Samsung
tv gani inaitwa goodvision??
Watanzania tuna stress za maisha sana...mtoa mada anataka suluhu la tv yake utamwambiaje akatupe??...akishatupa hela ya kununua nyingne utampa ww??...na je hzo samsung unazoziongelea huwa hazipat matatizo??...idiot[emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote hizo ni takataka za aina moja
TCL ni brand nzuri. Hata nchi za Ulaya zipo. Hayo ma ''Soyi'' sijui ndiyo makombo ya mchina. Kwa kifupi brand kama Sony, Philips, Samsung, LG, TCL, Procaster ni brand nzuri. Lakini uwe makini kwani mchina amepenyeza TV zenye majina na mwonekano kama hizo brand lakini ni fake.
 
Back
Top Bottom