Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Oct 5, 2011 #1 Mkono haujateguka wala haujavunjika, ila ukiunyanyua kuna kama nyama zinachanika, na mara moja moja huwa unafyatuka kabisa. maumivu ni makali sana. msaada jameni!
Mkono haujateguka wala haujavunjika, ila ukiunyanyua kuna kama nyama zinachanika, na mara moja moja huwa unafyatuka kabisa. maumivu ni makali sana. msaada jameni!
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Oct 7, 2011 Thread starter #4 Hosp nimeshakwenda sana baada xray huwa napewa vidonge vya MUVERA
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Oct 7, 2011 Thread starter #6 hospitali almost imeshindikana. picha za eksirei hazioneshi tatizo.