Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,548
- 3,550
Wakuu natumai mko salama, poleni na heka heka za umeme.
Nimekuwa na tatizo la kutenguka kwa bega kwa zaid ya miaka 15, yan dislocation ya kwanza nlipata around 2005 baada ya hapo nimekuwa nikipata hii shida kila baada ya muda flan, sometime naeza kaa ht miez 6 bila kutokea.
Na kila nkipataga hii shida huwa napambana nalirudisha ila kwa maumivu makali sana, na km mara 2 ishawahi tokea likagoma kurudi mpk nikapelekwa hospitali.
Sasa juzi hii shida imenipata tena na likagoma kurudi kbs ikabd niombe msaada nikimbizwe Moi, wkt napelekwa hosptal likarud nikiwa kwenye gari.
Naomba nipate ushauri ni nini naeza kufanya niepukane na hii hali mazima? Mana maumivu yake hayaelezeki asee.
N.B: Last time Moi nliambiwa misuli yangu ya bega haiko imara bc nikapewa dawa za mwz mzima na nkawa naatend physiotherapy kwa mwz mzima lkn baada ya muda tatzo liliendelea.
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app