mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh maneno makali hivyo ya nini bro? nilipropose tubadilishe mifumo yetu ya ufundishaji,mifumo mipya iwajengee wanafunzi kujiamini,,wengi wanasoma waajiriwe , sasa kama umri wa kutoka chuoni ni miaka 24,mpaka miaka 30 hujapata kazi,utaachaje kujiona mzee?l..LOLS ...mkiendelea kupiga kelele watu wajiajiri wakati hamjabadilisha SYSTEM ya ufundishaji,then endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.