Yan watu wenye mawazo chanya kama yako huwa hawapati nafasi ya kuwa viongozi wakubwa ili watende vema na hata wakipata hugeuka wachumia tumbo,uko vizuri mkuu nimekupenda bureHello JF,
Tatizo la ajira limehit record high,
Wengi wakiwa graduates,ambao system imewa FAIL,
Kwa kuwafundisha mavitu maguuumu ambayo yako nyuma na kasi ya sayansi na teknolojia
Tufanyeje mpaka 2020?????,
tukiendelea na system iliyopo,bado tutakuwa na watu wengi zaidi wasio na ajira,ifikapo2020,
Leo,nilikua nawaomba tuwe na MKAKATI ,yes MKAKATI,
Kwa batch ya wanafunzi wa sasa hivi,labda hatuwezi kurekebisha tatizo la ajira,ila lakini inatubidi tupange MKAKATI, mpaka ifikapo 2020 tuwe tumelipunguza tatizo kama sio kuondoa kabisaa
Hatuwezi kusubiri Nazi chini ya mwembe,
Namaanisha kama hatujafanya changes kwenye system,tusitegemee vitu vingine positive.
Kwanza kuwe na CHANGE OF SYLLABUS,huko vyuoni,wasome mambo ya current time,kama ni science,then wanafunzi wapewe mazingira halisi tutengeneze wana science wa karne yetu,sio kuwasomesha ma theory gani ya mwaka 47 huko..........LOL
Pia,kilimo,biashara na technology viwe ADDED kwenye syllabus
Kuwe na fungu la serikali ,stimulating money,kuwe na mashindano ya kuandika projects,wale wanaofit wawezeshwe................mtu akiwezeshwa atawawezesha wengine(kuajiri wengine)
Kuwe na warsha/kongamano may be kila weekend,watu wajifunze kilimo/biashara FREE,sio kama wale wezi wa 'motivational speakers,LOL
Mengine mtayajazia wana JF,
Tumsaidie wanzetu kny office
Hahahaa Diamond kamtia mimba hamisaa huko tunagongana tu vikumbo.Thread za maana kama hii huwezi kuona watu wana changia, nenda Jukwaa La Siasa, MMU, JLW uone balaa lake.
We have a long way to Go.
Mindset ya kujiajir vijana wanayo tatizo mitaji. Kilimo kinalipa utaanza kulima huna shamba? Huna vitendea kaz? Huna Pesa ya madawa? Lawama zitarudi tu kwa serikali.
Swala LA walimu Tanzania bado kuna uhaba wa walimu mkubwa tu si Vijijini Wala mijini.
Sekta ya afya Usiongee.
Mahakama usiseme
Serikali ikejipanga vizuri nadhani tatizo la ajira lingekuwepo Ila si kwa miaka hii ya Sasa labda hapo baadae Sana.
ila kweli mkuuThread za maana kama hii huwezi kuona watu wana changia, nenda Jukwaa La Siasa, MMU, JLW uone balaa lake.
We have a long way to Go.
tatizo la ajira ni la dunia nzima... sisi kwetu linazidi maana hatuna mindset ya kujiajiri...
kweli mitaji ni ishu kwa vijana.. ila kila ukoo ungeweka utaratibu wa kuchangiana mitaji kama mnavyochangiana harusi nina imani tungejmpunguza hili tatizo...
tuna mindset za kijinga sana na ndio maana hatuendelei
Huwezi kuona mtu mjombaila kweli mkuu
Moja ya vitu nilivyoongea ni stimulating package,ambayo ni mfuko wa jamii,kusaidia ajira kwa vijana,mwenye project plan nzuri awezeshwe,nina maana apewe mtaji,au shamba,lol
kisha moja ya changamoto za mazingira yetu ni mtaji,as I said tuexplore kitu gani kinahitajika kwenye ajira and then tukiweke kwenye Elimu,watu wasome,wakimaliza hawataona tena kama obstacle,i believe kuna njia kibao za kupata mtaji kwa waliosomea biashara wanajua haya.................ni hii elimu tunayoitaka kwa wote..........................mwisho tatizo la mindset ni tumelilea wenyewe kutokana na misingi mibovu ya elimu na halitaisha kwa siku moja ni mkakati/continuous process....
mkuu sijakupata lol
Kujua kipaji chako na kukitumia kwa manufaa ya jamii ndio kusudi la mhusika kuumbwa. Kwa uafupi mafanikio huja yenyewe baada ya muhusika kujua kipaji/kusudi lake na kukiendeleza. Kutafuta mafanikio bila kujua kipaji au kusudi, unaeza loga
Nakwambia hata shule zetu walimu waendeleze sana vipaji. Mbwana Samata alikua kilaza class. Sasa yaliyokua smart sijui yako wapi, huenda hata hayana mchango kwenye taiga hiliwengi hatuna uzalendo huo..lol
mkuu hizo mindset ni tumekuzwa nazo,tubadilishe mfumo wa elimu yetu,uone kama halitaeda samamba na kupunguzwa kwa tatizo la ajira.....................
Hili linchi vijana wasipojitambua ndani yao kuna nini, hatuendi popote. Kinachoendelea ni kujistukia, mfano mtu anajistukia umri umeenda, miaka 30 anaanza kuvaa mashati ya kitenge anajadai kazeeka, lakini huyo huyo hajui ana potential gani, zaidi anatafuta ajira. Huenda ni mcheza movie, yani ukikutana nalo ni kama zuzu