tatizo la ajira: NHIF yafurika application

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Nimefika hapa NHIF kushughulikia vitambulishi nikashangaa idadi ya kutisha ya watu wanaoingia na kutoka
Nilipo dadisi nikaambiwa leo ndio siku ya mwishi kuwasilisha maombi

Yaani msusururu wa vijana na bahasha mkononi wanazidi kuingia vituoni nje wamejaa wenyewe watupu
Nimeambiwa hali ingawa imzidi leo lakini almost ni toka tangazo litolewe la kazi

Amakweli ajira ni tatizo kwa vijana na wasomi wetu
Poleni sana mfikirie na kujiajiri pia
 
hahaha acha hizo kaka!! mbna hata wewe ulileta application zako pale leo!! tulikuwasote kwenye folen...acha kujifanya matawi...!!!
 
hahaha acha hizo kaka!! mbna hata wewe ulileta application zako pale leo!! tulikuwasote kwenye folen...acha kujifanya matawi...!!!

Kwani amekuambia yeye ni matawi ya juu, au alikuwa anajaribu kuelezea uhalisia wa hali ya ajira ilivyo hapa nchini, read twice before posting your comments.
 
Nimefika hapa NHIF kushughulikia vitambulishi nikashangaa idadi ya kutisha ya watu wanaoingia na kutoka
Nilipo dadisi nikaambiwa leo ndio siku ya mwishi kuwasilisha maombi

Yaani msusururu wa vijana na bahasha mkononi wanazidi kuingia vituoni nje wamejaa wenyewe watupu
Nimeambiwa hali ingawa imzidi leo lakini almost ni toka tangazo litolewe la kazi

Amakweli ajira ni tatizo kwa vijana na wasomi wetu
Poleni sana mfikirie na kujiajiri pia
Aiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Nimesahau kupeleka application yangu. Du hii weekend ilikuwa noma sana. Basi tena!
 
mpaka sasa hivi Tanzania mnatumia ujima kwenye ku apply kazi? Ina maana hao hawana watu wanaojua computer angalau kuepusha usumbufu wa watu kujazana hapo? So sad kwamba elimu tunapewa ila hatusaidii.
 
Applications 70,000 nafasi 4. Nazo hizo Nafasi 4 kuna Vimemo 200. Kazi ipo Tanganyika.
 
Back
Top Bottom