Tatizo la ajira kwa walimu...

Tatizo la ajira kwa walimu...

yaani kuna uhaba wa walimu,at the same time kuna kundi kubwa la walimu hawajaajiriwa,it doesn't make sense sir!

serikali haina pesa kuwaajiri,kwani miaka yote pesa ilikuwa wapi?? mbona na wewe unaandika kivivu…??

nimesema again sijalifanyia uafiti,ila nikichunguza na kujua kama ualimu vigezo ni vidogo kuingia….nakuja kukuchapa fimbo,lol 😳😳
Kuhusu ishu ya vigezo kuingia ualimu hiyo hai make sense,VP degree não wanaingia kwa vigezo kidogo?
 
its soo unfair ,kuchukua walimu wote hawa uwasomeshe huku ukijua nafasi ni chache...
.
Unataka kusema serikali ndo imerwasomesha wahitimu wote? vipi kuhusu waliosoma vyuo vya private ngazi ya astashaada na stashaada pia kuhusu wale waliosoma bila mkopo kwa ngazi ya shaada.Tuache kuipa sana lawana serikali mkuuu,pia serikali haijasema kuwa hapa ndo mwisho wa ajira kwa walimu imesema kuwa wale amabao hawajabahatika taarifa zao zipo kwenye kanzidata ya tamisemi
 
Serikali haina hela ya kuajir walimu hzo zingine mnapiga ramli tuu, ndo mana inajarbu kudonoa donoa, vipaumbele vimeelekezwa kwenye miundo mbinu ambayo inakula multibillion dolar, kuliko kuinua wanachi kiuchumi , tena wanapewa wageni na mpunga wote unasepeshwa kwao sisi tunabaki kama vibarua, hyo ndo furaha ya raisi kuona wananchi wake ni vibarua......

STG sjui SG yote hyo ni miradi mfu, tena STG ndo mfu kabisa haitafika popote mpak anatoka madarakani,
Shule zile zile na huku idadi ya wanafunzi inaongezeka na walimu hakuna, hospital sasa watumishi wapo largely outnumberd ukilinganisha na patients..na kuna wahitimu tu wengi wa afya wanasugua gaga mtaa na vibanda vya maduka ya panado....
unaajir mwalimu wa grade A wakati una reserve ya undergraduate kibao mtaani tena umemsomesha kwa gharama, kisa una escape kiwango cha mshahara atakaodemand..huu uzwazwa aisee

Tuna raisi ambaye hana vision yyte yenye tija kwa taifa zaidi ya kuropoka tu na kununua dreamliner zinazojiendesha kwa hasara......
Wakulima wanalima kwa jasho lao, without any gvmnt support alafu mwisho wa msimu unamgonga nyundo asitafute soko nje ya nchi......

Hata kutandaza mabomba tu along highway road ili kuwe na access ya maji na kusupport irrigation sytem na yenyewe hakuna unakimbilia kununua ndege moja ya billion miambili, huku wanachi wakitaabika na mabadiriko ya hali ya hewa yanayoleta ukame wa mda mrefu huku unajua kabisa kilimo ndo uti wa mgongo kwa taifa

Hata kuhakikisha bas huduma za afya zinaimarika hasa vijijini kule ambapo gvmt health center ndo their last hope na yenyewe hamna,...

Hata kuinua elimu iwe elimu bora ambayo itawawezesha watu kuweza kufight hata nje ya nchi mambo yakienda vibaya na lenyewe hakuna, zaid ya kusmash taasisi za elimu binafsi badala ya kuzisaidia zitatue udhaifu wao, et lengo upunguze wasomi ili upunguze tatizo la ajira hii ni aibu kabisa, na taasisi zinazobak unaziongezea viwango vya ufaulu ili taifa libak na ma mbumbumbu wauza mikaa na wachuuzi wa karanga za miamia na michicha...
Mwisho wa siku unawagomea IMF kuwapa taarifa za kiuchumi za nchi yako ukikwepa aibu, Tunaongozwa na mtu asiye na exposure na mwenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo
Kiufupi tu hapa tumelamba gharasa mpak 2025..hamna kitu hapo
 
Ajjri hata hao wote. Waliobaki, uhitaji wa walimu ni mkubwa [emoji3]
 
Tatizo la ajira kwa walimu ni jambo linaloeleweka hasa kilio kikubwa cha walimu wa masomo ya sayansi ambacho kimekuwa kikisikika kila kona ya nchi hii lakini jambo la ajabu linaloshangaza ni kwamba walimu wa masomo haya wapo wakutosha mtaani lakini kwanini hawaajiriwi?
Hapa ndipo nagundua suala la elimu na ajira kwa vijana siyo kipaumbele katika serikali hii
 
Back
Top Bottom