kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 910
- 862
heshima zenu wakuu simu changu ina tatizo la kushika 3g nimeshaipeleka vd tigo wote wameshindwa tatua tatizo mwengine kanambia itakuwa imekosewa kiwandani ila ukikaa mda flan inadisplay g na line ya vd ukitumia 2g inakuwa fasta kimtindo ss wakuu naomba msada wa kutatua tatizo hili