Nimesevu majina kwenye simu lakini kwenye whatsapp hayatoki zinatoka namba tuu, naukitaka kumuadd mtu ili tuchat ukiangalia kwenye add kule hakuna hata Jina moja nawatu nnao wengi tu kwenye whatsapp mpaka mtu aanze yeye kunisms...nimejaribu ku-save majina kwenye 'phone' na ku-refresh lakini tatizo bado lipo..NATUMIA TECNO H6...Msaada wadau.