Tatizo kwenye Kitovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kwenye Kitovu

Discussion in 'JF Doctor' started by Blaki Womani, Apr 21, 2011.

 1. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Habari ya leo JF

  Ninatatizo la kitovu kutoa maji kwa muda mrefu sasa miaka 25 nimekwenda hospital bila mafanikio nimemwona mtaalamu wa ngozi KCMC kipindi cha nyuma lakini kwa sasa nimekata tamaa .

  Sio kwamba kinatoa maji muda wote bali pale ninapotumia dawa na kufanyiwa dressing
  kinapona naweza kukaa muda hata wa miaka miwili bila kutoa maji halafu kinaanza kutoa maji mara ya mwisho hospital niliyokwenda Dr. aliniambia inawezekana kilikatwa vibaya ndio inasababisha wakati mwingine kuwa hivyo.

  Naomba kwa anayejua namna ya kusaidia tatizo hili kuondoka kabisa anisaidie.

  Asante.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Pole sana - Huwa sina Imani na Madaktari na ndiyo maana natumia zaidi dawa za kienyeji!
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Dawa gani ya kienyeji
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,442
  Trophy Points: 280
  Pole sana BW.
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Asante BAK
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  BW kwanza pole sana kwa tatizo, ni kweli matatizo mengi ya kitovu sijawahi sikia mtu amepona kwa dawa za hospitali, mengi yanaponeshwa na dawa za kienyeji, ni kweli tatizo lako linasababishwa na kitovu kukatwa vibaya, niliwahi kumwona mtu ana tatizo kama hilo, dawa aliyotumia ilinishangaza kidogo, alichukua kipande cha gunia na kukichoma kwenye jiko la mkaa, kilivyoungua akakitoa na kusaga ili apate powder, then akawa anatia kwenye kile kitovu, kilichotokea sikuamini kwani tatizo lilimalizika ndani ya siku 7. unachoma hicho kigunia kwenye moto usio mkali ili kisiungue chote. pole again ndugu yangu.
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  SL
  Nashukuru sana kwa hilo
  niliwahi kuagiziwa dawa nyingine nikaange miwa jikoni mpka yawe majivu
  niweke kwa muda wa siku saba nitapona nilifanya hivyo kweli kiliacha kabisa
  kutoa maji lakini baada ya miaka 3 ilirudia tena,
  ninakwenda kulifanya kama ulivyoniambia maana nina mwezi sasa kinatoa maji
  Asante
   
 8. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  POLE SANA BW,
  Natamani sana ningekuwa na uwezo wa kukutibu au hata kumfahamu mtu anayeweza kukutibu,
  lakin bahati mbaya sifahamu na simjui yeyote,ila NAAMINI KUPITIA JF unaweza kupata ufumbuzi wa tatizo lako.
  POLE SANA.
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Pole sana BW.... nahisi maumivu yake hayaelezeki. Hebu tusikie wataalam hapa watasemaje.
   
 10. kure11

  kure11 Senior Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole sana BW,Hope wana JF watasaidia .
   
 11. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Asanteni wanaJF wote
  naamini kwa sala zenu ipo siku nitapona
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu Mungu atakuwezesha upate kupona.
   
 13. Underdog

  Underdog JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2015
  Joined: Apr 14, 2014
  Messages: 219
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Jamani nina tatizo la kuvuja maji kwenye kitovu.... Naomba kujua tatizo hili linasababishwa na nini..
   
 14. Underdog

  Underdog JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2015
  Joined: Apr 14, 2014
  Messages: 219
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Habari za jioni wakuu... Nina tatizo tajwa hapo juu na sijui limesabishwa na nini
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2015
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  Hebu kimbilia hospitali
  Kitovu ni sehemu sensitive
   
 16. v

  vigpower Member

  #16
  Oct 6, 2015
  Joined: Sep 19, 2015
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa tba zaidi tafuta number 0712757453
   
 17. ISLETS

  ISLETS JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2015
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 5,322
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  limekuanza ukubwani au ulikuwa nalo tangu utotoni...?
  na vipi emeenda hospital?
   
Loading...