Hii cm cjui ina tatizo gani kuna muda inapata joto sana au inashake maandishi mpaka utoe betri na uwashw ndio inawaka tena shida onaweza chilua hata dakika 30 .tatizo nini wataalam naomba msaada wenu mpaka nafikiria kuitupa
simu haiwezi pata joto mpaka iwe inatumika, simu ikiwa huitumii sana inapata joto hilo sio jambo la kawaida kunakuwa na kitu chini kwa chini kinaendelea. simu ikiwa na developer mode unaweza ukalimit background application zisifanye kazi