Kwa maelezo haya tatzo sio instagram bali tatizo connection setting za internet kwny cm yakoError “An Unknown Network Error Has Occurred” on Android
Msaada mwenye kujua kutatua tatizo hilo nashindwa kumfatilia da mange kabisa
App zingine zinafunguka vzur tu au zote zinagoma....??Samsung j7
Nitajaribu nione piaHilo tatizo kuna kipindi linatokeaga,Kuna wakati shida inakuaga ni Instagram wenyewe au la Kuna Mtu anajaribu kuhack account yako (ilishawahi nitokea Mimi)
Ila Cha kukushauri embu jaribu kutumia simu ya mtu mwingine kuingia kwenye account yako uone Kama iko salama isije ikawa ushahakiwa.
Hiyo kama aihakuda update sijui.nenda about update simu yako alafu leta mreheshoError “An Unknown Network Error Has Occurred” on Android
Msaada mwenye kujua kutatua tatizo hilo nashindwa kumfatilia da mange kabisa